Recent content by Mafwi Munda

  1. Mafwi Munda

    Sio kila kitu kinazuilika hata kama hupendi

    Vya kipumbavu ni vipi kwako?!
  2. Mafwi Munda

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Mimi nimeomba kufunga account, kama kuna tatizo kufunga account waniambie mimi, tatizo ni lipi kwanini wasiifunge account yangu, nimewaomba mimi muhusika
  3. Mafwi Munda

  4. Mafwi Munda

    Sio kila kitu kinazuilika hata kama hupendi

    Walikuwa wanajifirahisha nadhani, sasa yanakuja wanaogopa
  5. Mafwi Munda

    Sio kila kitu kinazuilika hata kama hupendi

    Rasilimali za wenye nchi naziachwe zitumike. Waandamanaji nao ni sehemu ya wamiliki wa nchi hii
  6. Mafwi Munda

    Sio kila kitu kinazuilika hata kama hupendi

    Tatizo liko wapi mkuu?! Haya mawazo/maoni yangu, wao wanatikisikaje kwa hili?! Kuomba kutoka ni haki yangu pia, silazimishwi kufanana kifikra na mods, na silazimishwi kuwa member wa jamii forums
  7. Mafwi Munda

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Mimi siogopi na huu mtandao wanauita wa jamii, watuache wanajamii tushiriki tutakavyo, wao wamekuwa kama polisi na ccm, basi wanifunge kifungo cha maisha!
  8. Mafwi Munda

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Mimi nimewaomba waifute ID yangu, sijaelewa kwanini hawataki?! Sijui nitukane nifungiwe permanent?!
  9. Mafwi Munda

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Ndio maana nimeomba waifute ID yangu kabisa, sielewi ugumu huko wapi
  10. Mafwi Munda

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Niliuliza, kama hawakuwa na majibu wangewaachia wenye majibu
  11. Mafwi Munda

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Ndio nimeshindwa kujifuta nikaomba kufutiwa account
  12. Mafwi Munda

    Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Hii ni jamii forums, kama hujui wewe mwingine anajua usihofu
Back
Top Bottom