Recent content by Madwi

  1. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Haya Enyi wavivu wakufikiri naomba niwaache naendelea na kazi sasa nilibahatika kupata short break. Wasalimie wote samahani kama kuna eneo nilitumia lugha kali ni kwasababu nanyi mnahudhi sana. Lkn mwisho wa siku Qnet IR wanaprove watu wrong and I should be sincere to admit that I once was one...
  2. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Ni washindani wa Qnet. Hicho ndo naweza kusema kama MTU Mwenye tafiti. Wafateni Qnet mpate uhondo muache kulalamikia mavyuma kukaza kaza
  3. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Aidha swali lako zuri sana. Kama kweli una nia tafuta majibu yake sehemu mhafaka Dada yetu
  4. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Ni vizr ukawafata. Humu si sehemu sahihi ndio maana kuna ofisi
  5. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Utakuhukumu wewe unayejikunyata wenzio wanarace na maisha. Endelea kusubiri Qnet mbele kwa mbeleeeee
  6. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    I have no boss. Iam my own boss and Qnet is my business
  7. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Tafakari maana ya maneno haya: 1.Mjinga ni MTU asiye jua jambo na hajui kama hajui. 2.Mpumbavu ni MTU hasiyejua jambo lkn anajifanya kwamba anajua. 3. Mshenzi ni MTU anayejua jambo lkn anajifanya hajui. Wewe unajua nini kuhusu Qnet?. Mm ninaijua vyema hivyo sijawa mshenzi. Nimetumia muda...
  8. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Sasa Kampuni ya Azamu inahusikaje na swala la Dangote. Be focused hii ni biashara. Kajifunze. Mbona mnataja taja wenzenu? Au wenzangu ......?!!!
  9. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Q net Q net!?????????? Ni kweli mnahaki ya kujielimisha na kupata majibu. Nenda mkayapate kwa wahusika
  10. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Kwahiyo kwako kuajiriwa mgodini ndo unaona MTU hawezi kuacha akachukua fursa ya Q net. I see ure so innocent. Elewa biashara ndo ombi langu kubwa. Siku moja utageuka nyuma na kudharau kila kitu ulichokuwa unahangaika nacho awali.
  11. M

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Nani alikwambia Mwenye pesa anazeeka? Elewa biashara kwanza mambo mengi kumbe ni mageni kwako
Back
Top Bottom