Mwaka jana, chuo kilitangaza kuwa hakukuwa na grace period, hivyo muda wa masomo unapomalizika, mwanafunzi alitakiwa kulipia extension ili kuendelea na masomo.
Hata hivyo, mwaka huu chuo kimetangaza kuwa grace period ipo kwa muda wa miezi mitatu. Changamoto ni kwamba sisi tuliolipia extension...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.