Mjukuu wa Nyerere? Utakuwa huna taarifa sahishi kuhusu Yerico Nyerere.Hata hivyo kama mwanachama wa CDM ni haki yake kikatiba kugombea nafasi yoyote ndani ya Chama chake, sisi tusiyo na Vyama tutaendelea kuwa wapenzi watazamaji.
Mkuu sijui kama umefanya critical analysis kabla ya kuandika, nianze na daraja la busisi hivi unaijua adha wanayokumbana nayo wasafiri kusubiri kivuko ? Wasafiri wanalazimika kusubiri kivuko kwa wastani wa saa 1 had 1.5 wakisubiri hapo naongelea mchana wakati wa usiku ndiyo majanga.
Meli ya MV...
Kweli SAMIA anaendelea kuwa Rais wetu mpendwa, tena vyama vya upinzani visijisumbuwe kusimamisha wagombea ngazi yoyote maana vitakuwa vinajisumbua.
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Nimesoma andiko lako kwa umakini mimi ambaye sina basics za uchumi, nahitimisha kwa kusema kwamba mfumuko unafaida kwa wafanyabiashara na wazalishaji lakini una atahari kubwa kwa walaji wa chini.
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.