Recent content by madametheCHANGE

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kingereza kiwe Lugha ya Kufundishia toka Awali hadi Chuo Kikuu kuondoa Utabaka

    Kutumika kwa lugha ya Kiswahili katika shule za msingi za serikali ambazo zina idadi kubwa ya wanafunzi ukilinganisha na za sekta binafsi kumempa mzigo mwalimu wa sekondari kuhahakisha anaendeleza maarifa kwa lugha ngeni. Lugha ambayo ingeanza kutumika mapema iwezekanavyo tungemrahishia siyo tu...
Back
Top Bottom