Kwa ufupi huu sio utabiri isipokuwa nimeita utabiri kutokana na dhana ilivyo kwa sasa ,hasa kipindi hiki cha betting
nikiwa naandika uzi huu hivi sasa ni saa 11 Na dakika 7 jioni, mechi ya simba na yanga inaenda kuchezwa pale mkwakwani tanga majira ya saa 1 Kamili jioni
nikiwa na uhakika na...
Aise yaan singida na azam wawe wanaume wa shoka kweli kuliko power dynamo, kweli mpira umeingiliwa
kwa wanaojua mpira hawa jamaa wamecheza kikubwa sana ni vile unafikir angekuwa singida zingeishia mbili tu pale
Imekuwa tofauti kabisa safari hii wanainchi wana supriz gani?
Maana sio kawaida kabisa, binafsi nahisi kuna bomu wanaenda kulipua tar. 22/07/2023
Ngoja tuone!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.