Tupo tuliotuma maombi ya forest gurd mwezi wa 8 mpaka leo kimya upande wa mwanza tfs na Dodoma na kibaha sector ya mali asili ni changamoto kuita watu usahili inaenda miezi minne na bado kimya
Kuingia jwtz saizi kunaitaji connection ya hali ya juu sana maana hata ukiwa jkt na huna mbanga ni ngumu kuna raia wanatoka mtaani wanaenda kiangaiko sifa mifumo aijalishi wew ni wa mtaani au jkt jeshi limekua la kupiganisha now day
Jamani waliofanya usahili wa polisi upande wa madereva tupeane misaada usahili inakuaje na ili utoboe upande vya fani ya udereva tupeni ronja mliowaifanya
hahahahahaha wajuba amjakata jwtz tamaa ajira toka wa tatu waite watu saizi zilikua siasa hili raia wajue jeshi linaajiri kumbe mtoto wa maskini kupata ajira ya jeshi ukaombe kwa raisi bila hvo ndgu zako wawe maconol au mameja pale ngome
kiukweli ajira za jwtz mpaka sasa walitumia siasa kudanganya watu ajira za mwezz
kiukweli mpaka sasa ajira za jwtz zilitangazwa kisiasa kudanganya watanzani ila hii tabia ya jwtz waliopo ni watu wanajionaje wanatangaza ajira mwisho kimya wakat watoto wa maskin walifunga safari hadi ngome...
jamani jwtz mbona wamekua waongo sahili zao zinakua za uongo kuanzia op makao watu ni mwendo wa msg tu yani wakatangaza ajira ila kunawachache wakapigiwa cm walopiganisha kunawatu wametumia nauli kutoka mikoa mbalimbali had kwenda makao ya jeshi lakini mpaka sasa kimya watu wamejibana kuwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.