Wewe umetokea wapi tena. Hii thread ni ya nini?? Watu tupo humu miaka kabla hako ka betpawa hakajaja Tanzania na la sportybet kwako. Be smart mbona kudepost kwa bank cards ni easy tu. Acha mtu abet kwenye kampuni anayoitaka
Hakikisha tu namba iliyoko kwenye account yako iwe tigo au airtel kama siyo unaenda kwenye account unabadili number. Chap uwe na username pia fasta kama umeme
Vitu vya kawaida hio ticket bado iko open kwasababu hizo lost game hazijafunguka kwa system ya matokeo. Kuna zingine zinakaa hadi masaa 12 hadi siku 3.
Na siku nyingine pia usishangae game zikashinda na bado mkeka ukakaa siku hata mbili wasiufungue kukupa pesa zako.
Ni jambo la kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.