Recent content by maccavel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhalini Watu tunaowaheshimu Tanzania acheni kutufanya tujutie Kuwaheshimu na Kuwaamini kwa Uongo na Dhambi ambazo hata hamfanani nazo

    Mashuka ya MSD kabisa lakini tunaambiwa ni Palestine, duuuh 🙌🙌
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Kama Mtu Anakufikiria Bila Yeye Kukuambia ( baada ya kuifanyia utafiti mwenyewe kwa miaka 12 )

    Kwa kweli Mimi mwenyewe hii inanikuta sana, mfano Kuna moment naweza kaa hata masaa 15 sijawasiliana na demu wangu, but Cha kushangaza unakuta ile nashika simu, naandika jina lake "Y mambo",ajabu ni kwamba muda ule ule, Yani sekunde ile ile, me natuma text na yake inaingia kwangu, tena maneno ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Habari njema zaidi yatikisa dunia kwa China kutangaza kugundua dawa tiba ya kisukari

    Mkuu naomba nijuze vizuri, vipi kwa mgonjwa mwenye kisukari 5 years
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara likakuacha na mshangao

    Mkuu tangazo hilo si nimeliweka hapo, au hujaskia , pitia thread vizuri ulisikie tangazo la mlimbwende huyo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara likakuacha na mshangao

    Hahahaha kwahiyo stationery wanatengeneza vyeti siku hizi, watu wakikosa wateja wanaanza kusema wanarogwa, kumbe matangazo Yao hayajakamilika
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara likakuacha na mshangao

    Sasa mtu unakuta tangazo hajaweka bei,Sasa tangazo gani halijakamilika
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara likakuacha na mshangao

    Hahahaha kwahy mkuu,huyo mshangazi ana sehemu ya kumwaga, hahahaha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara likakuacha na mshangao

    Wakuu, katika harakati zetu sisi vijana, hasa upande wa kibiashara, je, ubunifu wa kutengeneza matangazo una athari zozote katika maendeleo ya biashara zetu? Kwa mfano, unakuta baadhi ya watu huweka matangazo yenye vichekesho, na baadhi yao huweza kuvutia wateja na kuwafanya wapendezwe na...
  9. M

  10. M

    JamiiForums Tanzania Waislam Kuna baadhi ya mazingira dini usiipe kipaumbele hasa kwenye mambo ya msingi kama afya

    Mkuu andiko si la kupanic, je ni sahihi nyie kukanyimwa pombe duniani alafu mbinguni mtaenda kuogolea kabisa??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waislam Kuna baadhi ya mazingira dini usiipe kipaumbele hasa kwenye mambo ya msingi kama afya

    Mkuu kama umeshindwa kusoma vizuri hii thread na hujaielewa vizuri naomba uje pm mkuu nikutumie pdf nililoandikiwa na AI, sisi hatunaga muda wa kupamba mwandiko mkuu, ukitaka mwandiko mzuri kaangalie CV yako ya kuombea kazi pale Twiga cement kama mlinzi mwandamizi
  12. M

  13. M

    Hahahaha mkuu kwahiyo kobazi wana korona 5
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waislam Kuna baadhi ya mazingira dini usiipe kipaumbele hasa kwenye mambo ya msingi kama afya

    Mkuu nafikiri utakuwa na mental trauma wewe, sio bure, huwezi kuwa unaongea mambo yasiyoeleweka
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waislam Kuna baadhi ya mazingira dini usiipe kipaumbele hasa kwenye mambo ya msingi kama afya

    Aaah mkuu, sio vijana wote tunakuwa tunaweza ushenzi, ni sehemu tu ya kazi lakini Leo nimeshangaa sana kitendo Cha sheikh kugairi kipimo kisa mavazi
Back
Top Bottom