Recent content by mac_chiba

  1. mac_chiba

    JamiiForums Bila kutafakari hili neno uzalendo na mapana yake tutaishia kupiga mark time kwenye kila kitu

    Sijawahi kuleta Uzi kwenu wadau ila nimehisi nna jambo lakuongea pengine wawili watatu wakaungana na mimi kwenye hili. Kwanza ningeanza na maana ya neno lenyewe "UZALENDO" UZALENDO ni ile hali yakuichukulia nchi yako kama dhamana halali kwako,Mali yako au pengine kwenda mbali na kukubali kuifia...
  2. mac_chiba

    JamiiForums RED STONE:Chimbo jipya Moshi Mjini linalohatarisha familia za watu na kipato

    Hawana DJs bana miziki haieleweki
Back
Top Bottom