Hii ni chemsha bongo, na jinsi ya kupata jibu ni kama ifuatavyo:
2 + 3 = 5 ambayo inatakiwa kuzidisha na 2 na kupata 10
7 + 2 = 9 ambayo inatakiwa kuzidisha na 7 na kupata 63
8 + 4 = 12 ambayo inatakiwa kuzidisha na 8 na kupata 96
6 + 5 = 11 ambayo inatakiwa kuzidisha na 6 na kupata 66
Kwa...
Serikali ya Tanzania haina dini [maneno na msistizo wa hayati Baba wa Taifa, mwalimu Julius Nyerere-wakati wa uhai wake], bali watu wake wana haki ya kuwa na dini. Dini zisitugawe watanzania. Tusichanganye dini na siasa, na pia tusichanganye siasa na dini.
Tatizo la udini limetokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.