Recent content by mabadilikosasa

  1. M

    JamiiForums Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    1. Je kampuni ya kalasinga ni halali au ni ya kitapeli? 2. Kodi ambayo haikulipwa na waliochotwa pesa za Escrow : nani alitakiwa kulipa, na ingelipwa lini? 3. Uzitibitisho wa kuwa tanesco ilikua hawadi IPTL over charges haijaeleweka 4. kesi ambazo zimefunguliwa na wabia wengine kudai...
  2. M

    JamiiForums Nnape Nnauye: CCM imebariki mchakato wa katiba mpya uendelee

    sasa hizo makati wanajadili nini wakati wao walikua na draft ya kwao...si wanajaza tuu mambo yao
  3. M

    JamiiForums Nnape Nnauye: CCM imebariki mchakato wa katiba mpya uendelee

    huu ni utapeli, na kulewa madaraka
  4. M

    JamiiForums Nnape Nnauye: CCM imebariki mchakato wa katiba mpya uendelee

    haingii akilini mchakato kufanyika vizuri hivyo na kujenga imani mpya kwa wananchi halafu tumaini lote linapotea kwa sababu ya maslahi ya wana ccm wachache
  5. M

    JamiiForums Nnape Nnauye: CCM imebariki mchakato wa katiba mpya uendelee

    jinsi ambavyo viongozi wa ccm wanavyofanya kuhus swala la katiba mpya ni dharau kubwa kwa watanzania
  6. M

    JamiiForums Nnape Nnauye: CCM imebariki mchakato wa katiba mpya uendelee

    Dunia kuna maajabu sana. sasa hapa tutapa katiba ya nchi, au ya CCM?. Kama wanajua haitapitishwa kwanini waendelee na mchakato? Ndo maana tutaendelea kutwa masikini milele, maana hatuna viongozi!!
  7. M

    JamiiForums Ujana, uzee, au jinsia sii kigezo cha Rais bora tunayemtaka Tanzania

    rais ni kiongozi wa nchi nzima kuanzia jeshi hadi mkuu wa kitongoji. lazima tuwe makini saana. magazeti kuweni na uchungu na hii nchi
  8. M

    JamiiForums Ujana, uzee, au jinsia sii kigezo cha Rais bora tunayemtaka Tanzania

    kama mtu anasema ana mawazo mapya atueleze kwanza hayo mawazo yake mapya ni yapi kabla hatujamchagua
  9. M

    JamiiForums Ujana, uzee, au jinsia sii kigezo cha Rais bora tunayemtaka Tanzania

    kuna haja ya kuwa hata na taasisi ambazo zitasaidia kuelimisha watanzania ili tusifanye makosa
  10. M

    JamiiForums Ujana, uzee, au jinsia sii kigezo cha Rais bora tunayemtaka Tanzania

    Our generation has suffered too much!,. need to think more and more, and stop repeating the same mistake
  11. M

    JamiiForums Ujana, uzee, au jinsia sii kigezo cha Rais bora tunayemtaka Tanzania

    anapotokeza mtu anasema yeye ni kijana tumchague kwa sababu amefikisha miaka 40 ni kuwafanya watanzania kuwa mazezeta
  12. M

    JamiiForums Ujana, uzee, au jinsia sii kigezo cha Rais bora tunayemtaka Tanzania

    naomba sana sana vyombo vya habari visadie kuelimisha watanzania wajue hizi sifa. tangu duniani iumbe umaskini, maradhi na ujinga vimekua mzigo mkubwa sana kwa tanzania ingawaje Mungu ametupa raslimali nyingi. Rushwa pia imeongezekwa kiasi kikubwa sana kuanzia kwa hakimu wa mahakama ya mwanzo...
  13. M

    JamiiForums Ujana, uzee, au jinsia sii kigezo cha Rais bora tunayemtaka Tanzania

    Tanzania ni nchi maskini sana na yenye changamoto nyingi na ni kosa kulinganisha na marekani, au nchi nyingine tajiri duniani ambazo watu kama kina Obama walipata madaraka Tunahitaji mtu mwenye uzoefu usio na shaka Tunahitaji mtu ambaye anaweza kuleta madadiliko ya kimfumo na kupambana na...
  14. M

    JamiiForums Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Bunge la Katiba linatakiwa kutengua kitendawili kimoja tuu ili kupata jibu la matatizo ya Muungano Kwa sasa: Tanzania =Tanganyika whereas Zanzibar is a country inside Tanganyika It should be: Tanzania(x, n) = Tanganyika (x+y) + Zanzibar (x+m) x issues under Tanzania which cut across both...
  15. M

    JamiiForums Bahati mbaya rais wa Tanzania akifariki wakati makamu wa rais ndo rais wa Zanzibar itakuaje?

    Wanzibar wanataka makamu wa rais awe ni rais wa Zanzibar. Je ikitokea rais wa Tanzania akifa, watanganyika wapo tayari kutawaliwa na rais wa Zanzibar ambaye hawakumchagua? hii haiwezi kuhatarisha amani ya nchi?
Back
Top Bottom