Recent content by Maay

  1. M

    Waraka wa Mbunge Elibariki Kingu kwa Wabunge CCM kuhusu fao la kujitoa

    No research no right to say inaonekana ni mvivu wa kufanya tafiti na hajui sheria iliyoanzisha mifuko inasemaje.
  2. M

    Kwa aina ya mazoezi niliyoyaona Ukonga na Moshi, wana UKUTA badilini gia!

    Wote waliothubutu ndiyo waliofanikiwa kuleta ukombozi ila waoga watabaki na umaskini wao.
  3. M

    Ndugai tuambie kwanini upoteze pesa za umma kuunda kamati ya muafaka kwa wavunja kanuni za Bunge?

    Acheni kila mhimili ufanye kazi yake,vyama vifanye kazi yao,serekali ifanye kazi yake na bunge ifanye kazi yake,kwa wale wenye uwezo mdogo wa kuelewa mambo wanaweza kuona mtu fulani anaweza kufanya yote yeye peke yake.
  4. M

    Wasomi wazidi kuikosoa Serikali

    Ndugu zangu mnaosema Rais ni dikteta na ambao mnasema Rais siyo dikteta je mnajua sifa na tabia ya mtu ambaye ni dikteta? Na je sifa na tabia hizo rais anayo? Majibu ya maswali haya yatahalalisha au kubatilisha udikteta wa rais kazi kwenu wasomi wa nchi hii
  5. M

    Kuna Magufuli feki na Magufuli origino?

    Angemchukua mzee Kingunge kuwa moja wa washauri
  6. M

    Operesheni UKUTA sasa kuwakutanisha CHADEMA, CCM, AG na Msajili

    Tembo wakigombana kinachoumia ni nyasi
  7. M

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Inawezekana hana makosa ya kumtia hatiani acha tuone mahakama ifanye kazi yske kwa uhuru.
Back
Top Bottom