Recent content by Maastricht

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi katika hospitali ya rufaa ya Nkinga, iliyopo Wilaya ya Igunga tunapitia changamoto nyingi, tunaomba Serikali iweze kutusaidia

    Sisi ni watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Nkinga, iliyopo Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora. Tunaiomba Serikali na mamlaka husika kutusaidia kufuatilia changamoto mbalimbali ambazo kwa muda mrefu hazijapatiwa ufumbuzi. Kutokana na hali hiyo, watumishi wengi wamekuwa wakiacha kazi, jambo ambalo...
Back
Top Bottom