Recent content by Ma ADDO

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili wazazi wake wasije kutoa mahari?

    Hiyo laana jaman
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili wazazi wake wasije kutoa mahari?

    Nimengi tu siwez kuyaandika yote
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili wazazi wake wasije kutoa mahari?

    Sakayo moyo wangu nishahidi jamaa nilikua nampenda lkn ananikatisha tamaa...kipato changu cha kuunga unga lkn anaweza kuja kwangu nikampikia let say ugal akija anakataa kula anataka wali na ndan sina chakula inabidi nikanunua robo au nusu nimpikie hata kunionea huruma hapana nami nafanya sins...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili wazazi wake wasije kutoa mahari?

    S Shida tulijichanganya nikaenda kwao!
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili wazazi wake wasije kutoa mahari?

    Mi nilikua ninamchumba nadhani kesi zangu zilikua nyingi mno sasa baada ya kukaa nikawa ninampotezea kidogokidogo. Desemba tukarudiana akanipeleka kwao akanitambulisha tulikaa siku 3 tukarudi mjini so kule kijijini wanajua kama tayari tunaishi pamoja imebaki kuhalalisha tu maana nilishangaa...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora nimwache aende tu

    Sasa hapo nimekosea kipi??? Ndio hayupo dunian labda kama ungesema nielezee historia nzima ilikuaje ila aliniacha na Alifia mikononi mwangu nikiwa nae.....na nibaada ya wazazi kufatilia maana alitoa mpaka mahar na mambo yalifika hadi kanisan jaman ni story ndefu sana ....ila kifupi tu siwez...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora nimwache aende tu

    Mi nimekata hata tamaa Sijui huyo atakae kuja nae ataniacha tu na kuniachia maumivu moyoni
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora nimwache aende tu

    Nimejikuta nacheka tu kwa sauti
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora nimwache aende tu

    Mi wanaume wamekua wakinitesa na kuniumiza kisaikolojia tu nimeona bora nikae mwenyewe tu Nilipata mchumba mwaka 2013 akanitolea mahari badae akarudiana na ex wake na kuniacha na mimba... Nimekua na matukio ya kuachwa tu hivyo nimekuja kugundua sio makosa yao Sina kitu cha kumvutia mwanaume...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu

    Kinachonishangaza nimemwambia tuachane kalia kama mtoto Mdogo tangu mchana mpaka sasa hataki kuondoka nyumban analia tu....huu usanii si wa nchi hii
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu

    J Jmn
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu

    Kwangu anapajua atakuja hata SAA 9 za usiku nilisha jaribu alijifanya kulia kama mtoto
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu

    Asante najitahid nimefuta kilakitu kinachomhusu yeye
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu

    Siko sahihi lakin nadhan kama binadam nimekosea ndio lkn sio kuniita maraya jmn mi sipo hivyo
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu

    He!! Jaman haya asante
Back
Top Bottom