Recent content by M tripple 7

  1. M tripple 7

    FUMANIZI LA MLEVI

    Jamaa alikuwa kitandani na mke wa mlevi ghafla mlevi aliingia chumbani kwake huku akiwa amelewa njwiiiiih alipanda kitandani alipo kuwa mke wake na jamaa wakila uroda walipo muona wakajikausha kimnya mlevi baada ya kupanda kitandani alisanuka mambo yakawa hivi...
  2. M tripple 7

    Msaada tutani: Nina tatizo la maziwa kutotoka

    Tatizo dogo tu hilo unachohitajika kufanya kanunue pweza alie mbichi then upike supu yake pasipo kueka kitu chengine chochote afu unywe huo mchuzi ( supu) Kwa muda wa wiki tu utapata majibu ya shida yako Kwa uwezo wa mungu inshaallah hatakujaalia.
Back
Top Bottom