Recent content by M nason

  1. M

    Naombeni msaada ndugu zangu

    Ada ni laki Tisa na nusu kwa mwaka..nimeshalipa semester ya kwanza laki nne, semester ya pili ni 265,000 na semester ya 3 ni 285,000 Mungu akubariki ndugu yangu
  2. M

    Naombeni msaada ndugu zangu

    Al haramain Islamic teaching college box 19921 DSM Tanzania. Account no 3300787661
  3. M

    Naombeni msaada ndugu zangu

    Naitwa mariam Nason nipo Al-Haramain teaching college ndugu Yangu hujui tu ni kwa kiasi gani nahitaji msaada
  4. M

    Naombeni msaada ndugu zangu

    Ndugu zangu asanteni kwa mawazo yenu. Nipo Al-Haramain teaching college. Hamjui tu ni kwakiasi gani nahitaji msaada wenu
  5. M

    Naombeni msaada ndugu zangu

    Naitwa mariam nason nipo Al-haramain teaching college
  6. M

    Naombeni msaada ndugu zangu

    Nipo Al-haramain teaching college naitwa mariam nason
  7. M

    Naombeni msaada ndugu zangu

    Okay.. Naitwa Mariam nasson. Nipo Al-Haramain Teaching college. Hujui ni kwa kiasi gani nahitaji msaada that's why nikaweka hadharani mawasiliano Yangu ili kama mtu ana nia ya kunisaidia anipate na nimweleze zaidi
  8. M

    Naombeni msaada ndugu zangu

    Habari wanajf. Naitwa Mariam ni mwanafunzi wa diploma ya ualimu wa msingi ktk Chuo kimoja hapa Dar,Niko mwaka wa 1 ndio tumeanza juzi tu..Maisha Yangu yamekua ya changamoto nyingi na mapito magumu sana lakini Mungu ni mwema mwaka huu nikapata mfadhili wa kunisomesha ualimu akawa amenilipia ada...
Back
Top Bottom