Recent content by M bombo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Russia is already exacting its revenge on Turkey for downing a Russian warplane

    Kwa mfano sisi hapa tanzania bajeti kuu inategemea wafadhili kwa 40% au zaidi na hao wafadhili ndio watakaokuwa vitani,pili uchumi wa nchi kama ya kwetu unategemea sana petrol ambayo itapanda bei sana kwa ajili ya vita kwa hiyo unaweza kuona jinsi ambavyo hatutaweza kunyanyuka kabisa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Russia is already exacting its revenge on Turkey for downing a Russian warplane

    Njia sahihi ya kuidhibu Uturuki ni kuiwekea vikwazo, biashara kati ya nchi hizi mbili inathamani ya zaidi ya USD30billion,watalii wa urusi wanaotembelea uturuki ni zaidi million 3.3 kwa mwaka sehemu kubwa ya bidhaa za kilimo kutoka uturuki zinauza urusi,12% ya watalii wote uturuki ni warusi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Russia is already exacting its revenge on Turkey for downing a Russian warplane

    kwa mtu anayeelewa sio Russia wala NATO aliyeko tayari kupigana kwa sababu endapo itatokea itakuwa vita ya kutumia MDW katika hali hiyo hakuna atakayebaki salama kati yao na hata vita itakapokwisha kutakuwa na matatizo makubwa sana ya kiuchumi ambayo dunia haijawahi kushuhudia
Back
Top Bottom