Habarini za majukumu! Mm ni msichana nmemaliza Chuo mwaka Jana ktk fani ya business ila major yangu ni accounting ( bachelor) natafuta kazi au hata nafasi ya kujitolea ili nipate uzoefu zaidi ,pia Niko tayali kufanya kazi hata mikoa ifuatayo ,arusha,mwanzo,Dodoma, morogoro,na kwingineko ila hiyo...