Nimedhamiria kwa dhati, natafuta mke wa kuoa na kuishi naye.
Naitwa Hensley nina umri wa miaka 46, rangi yangu maji ya kunde, ni mnene kidogo, mrefu wastani, elimu yangu shahada Ua uzamivu, ni mwajiriwa, dini yangu mkristo, nipo single, nina watoto 3, nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kutafuta...