Yaan yanga wanataka Simba akishinda wanune akifungwa wanune hilo haliwezekani iko hivi hii yanga inayosifika ngoja ifungwe mechi 2 utaona washabiki watakavyopayuka si mnasema imekamilika na makosa yataonekana ndiyo mashabiki walivyo wakifungwa wataongea wakishinda watashangilia
Wanavyoendelea kupata ushindi wachezaji saikolojia yao inajengeka vizuri na kujiamini kunaongezeka.
Haijalishi utashinda vipi wewe pata ushindi huku ukiendelea kutengeneza timu vizuri kwa sababu mashabiki hawatokuwa na kelele sana hili nalo muhimu kwa wachezaji kutokuwa na pressure na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.