Recent content by Luxer

  1. L

    Waziri wa Kazi Ridhiwani Kikwete - Ajira kwa Vijana Watanzania na Ukiritimba wa Wachina

    hakika umeandika kitu kimenigusa sana hii kitu inawanyima haki vijana na kuwa toa imani na serikali yao kwani wanaamini serikali inayaona haya na inajua lakin inayafumbia macho kwani wanaoteseka huko ma-site sio watoto wao ni watoto wanaotoka katika familia za kawaida wakihangaika huku na huko...
  2. L

    Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

    😭😭kenya katuacha mbali sana GDP yake currently $108.+billion wakati Tanzania ina $79.+billion huoni kuna utofauti mkubwa . Per capital income ya mkenya ni $1808.+annually wakati Tz per capital income ni $1224.+ huoni utofauti mkubwa kuwa kenya katuacha
  3. L

Back
Top Bottom