Recent content by Luvako1991

  1. L

    Nimepata tatizo la kifua kubana na kichwa kuuma

    Ila vip ulikuwa unahic je wewe yaan nielezee labda
  2. L

    Nimepata tatizo la kifua kubana na kichwa kuuma

    Ww ulifanyaje labda kuepukana na hiyo hali
  3. L

    Nimepata tatizo la kifua kubana na kichwa kuuma

    Nimeshapima nipo salama kabisa
  4. L

    Nimepata tatizo la kifua kubana na kichwa kuuma

    Unalicontrol je wewe yaan nipe hizo mbinu maana daah aise
  5. L

    Nimepata tatizo la kifua kubana na kichwa kuuma

    Kifua kinabana tu na kichwa kinauma sehem za katikati kuhusu dizziness , poor vision na nausea cjapata hayo matatizo
  6. L

    Nimepata tatizo la kifua kubana na kichwa kuuma

    Nashkru sana kijana ngoja ntarifanyia kaz
  7. L

    Nimepata tatizo la kifua kubana na kichwa kuuma

    Naombeni ushauri ninatatzo la kifua kubana, iko hivo kifua kilinibana ghafla tangu mwaka Jana, nashindwa kupumua vizr , na kichwa kinaniumwa muda mwingine nakua nayaona mapigo ya moyo unadunda nikiwa nimetulia. Jaman nimefanya vipimo kwenye hospital kubwa kama vile bugando na mhimbili lakin...
  8. L

    USHAURI: Maumivu ya kifua upande wa kulia (Chest side pain)

    Jaman hata Mimi naombeni ushauri ninatatzo la kifua kubana , iko hivo kifua kilinibana ghafla tangu mwaka Jana , lakin hospital nimeenda kuanzia bugando hata mhimbili , kila nikipim naambiwa sina tatzo ila navyoumwa ni hivi Nikiamuka asubhi najisikia vzr kabisa kma sina tazo ila kadili muda...
Back
Top Bottom