Recent content by Luton

  1. L

    Unahitaji Viwanja Njia panda ya salasala ukitokea wazo Hill? Umepata!

    Kibwenzi asante kwa maswali yako Kwanza hivi ni viwanja, ni zaidi ya kimoja na bado havijapimwa hivyo siwezi kusema kwamba nina hati zake. Siyo viwanja vya urithi bali nilinunua kihalali kabisa na nina vielelezo vyote vilivyoambatanishwa kuthibitisha kwamba viwanja ni vyangu. Ninaposema...
  2. L

    Unahitaji Viwanja Njia panda ya salasala ukitokea wazo Hill? Umepata!

    nashukuru Amalinze kwa taarifa Ninamaanisha mita 20 kwa 20 Karibuni
  3. L

    Unahitaji Viwanja Njia panda ya salasala ukitokea wazo Hill? Umepata!

    Ninauza Viwanja vyangu vipo Mivumono Wazo Hill Vipo karibu na njia panda ukiwa unatokea Wazo Hill Ni viwanja vizuri, tambalale, huduma zote za kijamii zipo Ukubwa: 20" x 20" Bei: 9M (Maongezi yapo) TUWASILIANE KWA: 0753 366 776 AU 0714 453969
Back
Top Bottom