Recent content by luth kitentya

  1. L

    JamiiForums TSNP-Tanzania

    Tanzania students' Networking Program (TSNP) is a non-partisan, not for profit and non-government registered in 23rd October 2001 (SO. NO.42386). the formation of TSNP targets to help fill the gap caused by the absence of strong students' organization that can promote and protect students'...
  2. L

    JamiiForums Tanzania students networking programme

    Tanzania students’ Networking Program (TSNP) is a non-partisan, not for profit and non-government registered under the Companies’ Ordinance in 23rd October 2001 (SO. NO.42386). the formation of TSNP targets to help fill the gap caused by the absence of strong students’ organization that...
  3. L

    JamiiForums Tamko la mtandao wa wanafunzi nchini kwa waziri mkuu

    Bodi ya wakurugenzi imekaa kikao na kuamua itatoa tamko ya nini kinafuata. Jaman ndugu zangu msionene kimya tunamipango mizuri.
  4. L

    JamiiForums Tamko la mtandao wa wanafunzi nchini kwa waziri mkuu

    Ufeli umechangiwa na mfumo mbaya wa elimu .
  5. L

    JamiiForums Tamko la mtandao wa wanafunzi nchini kwa waziri mkuu

    Ndugu hakuna mtu aliyetumwa na mtu yeyote na tumeona madhaifu ya mfumo wa elimu nchini ndo maana tumeomba ripoti ilikuruhusu wadau wa elimu na watanzania kuweza kuchangia maoni yao juu ya mfumo wa elimu nchini.
  6. L

    JamiiForums Tamko la mtandao wa wanafunzi nchini kwa waziri mkuu

    Ndugu tumeshajitolea maisha yetu kwa ajili ya wanafunzi wenzetu na tunahakikisha tunasimamia misimamo yetu tupo imara vya kutosha.
  7. L

    JamiiForums Tamko la mtandao wa wanafunzi nchini kwa waziri mkuu

    Tusiwalaumu wanafunzi moja kwa moja ufeli umechangiwa kwa kiasi kikubwa na ubovu wa utawala na mfumo wa elimu nchini.
  8. L

    JamiiForums Tamko la mtandao wa wanafunzi nchini kwa waziri mkuu

    Ndugu tunahitaji ushirikiano wenu kama wadau wa elimu na kama watanzania
  9. L

    JamiiForums Tamko la mtandao wa wanafunzi nchini kwa waziri mkuu

    Umeanzishwa mwaka 2001.
  10. L

    JamiiForums Tanzania students networking programme

    Ndugu watanzania, hatimaye TSNP imechagua viongoz wapya ambao no RAHIM R. NASSER ambaye ni mwenyekiti, ALPHONCE LUSAKO, ambaye ni katibu na LUTH KITENTYA ambaye ni Chief Excutive Officer ( C.E.O ) hawa ni baadhi ya viongozi wa juu LUTH KITENTYA - C.E.O TSNP
  11. L

    JamiiForums Tamko la mtandao wa wanafunzi nchini kwa waziri mkuu

    TSNP yamtaka wazir mkuu (Mh. Mizengo Pinda) kutoa ripot hadharani ya kuchunguza matoke ya kidato cha nne mwaka jana. Juu ya madhaifu yaliyopatikana, wakina nani wamehusika na madhaifu husika, mapendekezo husika ili yasijirudie tena kwa ndugu zetu wa kidato cha nne, wanaofanya mitihani yao sasa...
Back
Top Bottom