Recent content by Lusianoli

  1. L

    Natafuta mume

    Habari zenu wanajamvi, Mimi ni mdada wa miaka 27 ,mkristo,nipo Arusha,elimu yangu ni kidato cha nne,nimeajiriwa serikalini. Natafuta mume kuanzia miaka 30-36,mkristo,awe na kazi au biashara ya kuweza kujikimu kimaisha. Aliye tayari tuwasiliane.
Back
Top Bottom