Kumekuwa na unyanyasaji katika ukamataji wa pikipiki mkoani Njombe, Maafisa wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamekosa utu na wamekuwa wakiomba hela kwa wanaowakamata ili waweze kuwaachia.
Pia, maeneo wanayokwenda kukamata pikipiki si sawa, mtu anafuatwa petrol station...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.