unajua katika kazi ukichanganya na udugu pasipo ujuzi matokeo yake ndio haya, wafantakazi wameanza kudharau familia ya mzee mbuguni na wanakua kama vituko mbele yao.
halafu dogo imma anachanganya kazi na mapenzi, kuna dada mmoja kampiga chini eti anajitia kumtimua, sasa kwa staili hii unadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.