Recent content by lusajema

  1. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Punguza Gharama za Uchaguzi, Ongeza Ushiriki: Uchaguzi wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu

    Asante sana kwa maneno yako mazuri. Hakika yanatia moyo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Punguza Gharama za Uchaguzi, Ongeza Ushiriki: Uchaguzi wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu

    [/USER] Nashukuru kwamba umefurahishwa na andiko langu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Punguza Gharama za Uchaguzi, Ongeza Ushiriki: Uchaguzi wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu

    Asante sana. Bila shaka nimepata kura yako :)
  4. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Punguza Gharama za Uchaguzi, Ongeza Ushiriki: Uchaguzi wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu

    Asante sana. Kimsingi faida ni nyingi sana, lakini nimelazimika kuorodhesha chache ili kuzingatia idadi ya maneno yanayohitajika.
  5. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Punguza Gharama za Uchaguzi, Ongeza Ushiriki: Uchaguzi wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu

    Sehemu zote nilizotaja NIN, nilimaanisha namba ya NIDA kama wengi wanavyoitambua. Nimeeleza, kila mtu atajisajili kama mpiga kura kupitia simu kwa kuthibitisha namba yake ya nida. Namba 10 za mwanzo katika NIDA ni muhimu sana kutambua umri wa mpiga kura. Mathalani mfumo unaweza kutambua watu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Punguza Gharama za Uchaguzi, Ongeza Ushiriki: Uchaguzi wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu

    Tanzania tuitakayo ni nchi inayoongoza katika demokrasia na utawala bora barani Afrika. Ni nchi ambayo kila raia ana sauti katika kuchagua viongozi wake na kuamua mustakabali wa taifa lake. Ili kufikia Tanzania hii tuitakayo, tunahitaji kuboresha mfumo wetu wa uchaguzi kwa kutumia teknolojia ya...
Back
Top Bottom