Juhudi zinazofanya za kushusha vifurushi na kuondoa baadhi ya huduma kwenye bima ya NHIF hayo ni matunda tu yaliyooza ila mzizi wake ni wimbi kubwa la wagonjwa wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Idadi kubwa ya watumiaji wa bima ya NHIF ni wagonjwa wa kisukari,shinikizo la damu na saratani...
Utangulizi: Kuna udumavu wa maendeleo na ongezeko wa deni la taifa linaloletwa na mikopo ya nje sababu ya uchache wa kodi zinazokusanywa.
Mamlaka ya ukusanyaji mapato inapaswa kutumia njia chanja kuliko hasi katika uhamasishaji wa kulipa kodi na ukusanyaji wa kodi zenyewe.
Kwa muda mrefu...
Ukiongelea haya mambo utajua ni utani,ila ukosefu wa hivi vitu ndio sababu namba 1 ya vifo vingi kwenye mkanyagano katika mikusanyiko na vifo kupitia magonjwa ya ghafla majumbani
[emoji117]Kwa bahati mbaya watu wanadhani hivi vitu anapaswa kujua muhudumu wa afya tu,watu wa huduma ya kwanza au...
TANZANIA TUNAYOITAKA NA AFRIKA TUNAYOITAMANI NI ILE AMBAYO MFUMO WAKE WA MALEZI,UONGOZI NA ELIMU UNAWAJENGEA WANUFAIKA WAKE UWEZO WA KUJITEGEMEA BAADA YA MASOMO
Jukumu la kutengeneza kizazi chenye uwezo wa kujiajiri sio la mamlaka za elimu tu bali hata walezi.
Walezi wengi wanapeleka watoto...
TANZANIA TUNAYOITAKA NI ILE AMBAYO RAIA WANAIJUA SHERIA KAMA WANAVYOJUA WAJIBU WAO.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukihangaika na matokeo ya ukiukwaji na upindishwaji wa sheria bila kupambana na mzizi wa haya yote ambao ni kutoijua sheria yenyewe.
Mfumo wetu wa elimu (tukiangazia somo la uraia)...
TANZANIA TUNAYOITAKA NI ILE AMBAYO INATHAMINI WANAOTUMIA AKILI KULIKO WANAJITOA AKILI.
Tupo kama tulivyo kisiasa,kiuchumi na kijamii sababu ya kazi kubwa waliyofanya waliotutangulia ambao tunaendeleza waliyoanzisha.
Wimbi kubwa la viongozi wa juu kuthamini wasanii na wanaowasifia watu maarufu...
Bei ni elfu 25 tu kwa koti moja,mawili ni elfu 45.
Tunapatikana Makumbusho, Tunafanya delivery kokote ulipo.
Material ya kitambaa ni tetron laini inayong'aa, rahisi kufua na kupiga pasi.
0769509430 tukuletee kokote pale leo hii.
Bei ni elfu 25 tu,
Material ni polyester maarufu kama kitambaa cha Zanzibar ambacho ni rahisi kufua na kupasi (au kitambaa cha sukarisukari kinachoteleza).
Tupo Manzese Tiptop,DSM.
Delivery inafanyika popote pale.
0769509430.
OFA! OFA! YA LAB COAT [emoji91][emoji91]
Jipatie lab coat za high quality GRADE A kwa bei rahisi kabisa
[emoji117]Material zake ni ile inayong'aa na rahisi kufua.
[emoji117]Bei ni elfu 28 tu na elfu 55 tu ukinunua mawili.
Tunasafarisha kokote ulipo.
Tucheki kwa 0769509430.
Kuna mambo kama matano kwa mtazamo wangu ikiwa tutachukua hatua kubadilisha nadhani kila kitu kitabadilika kwenye nchi hii
(1)Mapinduzi katika Sekta ya Elimu
(a)Kubadilisha Mfumo wa Elimu.
Kutoka 7-4-2-3 kwenda 6-3-2(Miaka 6 primary 3 Sekondsri 2½ chuo cha ufundi stadi/taaluma) Tutatoa wasomi...
Tanzania tunahitaji kufanya mapinduzi makubwa katika sekta kadhaa ili kuiifikia nchi ya ahadi tunayoitamani.
Kuna mambo kama matano kwa mtazamo wangu ikiwa tutachukua hatua kubadilisha nadhani kila kitu kitabadilika
(1)Mapinduzi katika Sekta ya Elimu
(a)Kubadilisha Mfumo wa Elimu...
Kumaliza tatizo la ajira na kulialia ni lazima uwe mbunifu wa kutumia vyema nafasi na elimu uliyopata kuzalisha kwa namna tofauti.Ni rahisi kutumia ulichosomea kwa utofauti kwa kusoma at least FOUNDITION COURSE/FREE narudia FREE ONLINE SHORT COURSE YA AT LEAST 3 WEEKS MPAKA MIEZI MIWILI...
Tafiti zilizofanywa mwaka 2020 zinaonyesha uchumi wa nchi hautegemei tu jumla ya bidhaa na huduma zinazotolewa kwenye nchi kwa mwaka huo yaani 'Gross Domestic product' bali mfumo wa elimu pia unachangia.Uthibitisho huu unapatikana kwenye nchi zenye mfumo bora zaidi wa elimu duniani kama...
Ukiongelea haya mambo utajua ni utani,ila ukosefu wa hivi vitu ndio sababu namba 1 ya vifo vingi kwenye mkanyagano katika mikusanyiko na vifo kupitia magonjwa ya ghafla majumbani
[emoji117]Kwa bahati mbaya watu wanadhani hivi vitu anapaswa kujua muhudumu wa afya tu,watu wa huduma ya kwanza au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.