JANA saa 6 mchana, takwimu za Covid-19 duniani zilikuwa hivi; Walioambukizwa ni 1,121,197. Vifo ni 59,401.
Leo saa 12 asubuhi; kesi za maambuzi ni 1,202,435. Vifo ni 64,729. Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Worldometers.
Hivyo, ndani ya saa 18, kesi za maambukizi mapya ni 81,238. Vifo vipya...