Recent content by Lupembe Nyave

  1. Lupembe Nyave

    Njombe: Tumefanya kazi na kampuni ya Pamoja Estate Farm-PFP, hatujalipwa, tumedhulumiwa

    Tunahitaji msaada wenu viongozi. Tupate haki zetu. Hatujalipwa mpaka sasa
  2. Lupembe Nyave

    Njombe: Tumefanya kazi na kampuni ya Pamoja Estate Farm-PFP, hatujalipwa, tumedhulumiwa

    Kwako mheshimiwa, pole na majukumu ya kujenga taifa na pia hongera kwa kazi nzuri unazofanya. Mheshimiwa tunahitaji msaada wako wa kupata haki yetu (tumedhulumika). Tumefanya kazi, hatujalipwa fedha tulizofanyia kazi mpaka sasa. Tuliongea na Fanuel Sabini (Facebook anatumia jina la Seven Sabini...
Back
Top Bottom