Habari wanajamvi
Nimekuwa nikipiga simu huduma kwa wateja Airtel mara nyingi na kwa kweli mara zote nakutana na madudu na majibu ya watu ambao nazani hawajui wanachokifanya. Kumbe TCRA wamewa rank wa mwisho kwenye kutoa huduma nzuri za kumtosheleza mteja ( customer satisfaction survey ) uku Voda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.