naomba nichangie kama ifuatavyo, tukitaka kupata tafsiri ya neno hili tunaweza kuangalia katika tafsiri za aina nne
1. tafsiri ya neno kwa neno, civic united front ( uraia umoja mbele)
2. tafsiri sisisi, civic united front ( uraia ulioungana mbele)
3, tafsiri ya kisemantiki au maana ( umoja...
kwa mtazamo mdogo nilionao, nahisi katika hili swala wadau wanachanganya kati ya lugha ya mazungumzo( hii huwepo kwa asili ya mtu katika eneo analokulia) na isimu ( sayansi ya lugha husika, ambapo hii ni lazima ujifunze kupitia katika taaluma ya isimu) ambapo hivi ni vitu viwili tofauti kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.