Recent content by Lumumbastreet

  1. L

    Wanafunzi wa kike zaidi ya 50 Kilimanjaro wamefungiwa ndani ya shule kwa nguvu kisa ada

    Tumepata taarifa wanafunzi wote wameruhusiwa kurudi majumbani kwao baada ya amri kutoka serikalini. Kwa moyo wa dhati kabisa nalipongeza Jeshi la Polisi na Viongozi wote wa kiserikali kwa hatua za haraka walizochukua. Huu ndio utendaji tunaoutaka Tanzania, Kwa hili sina budi pia kumpongeza...
  2. L

    Wanafunzi wa kike zaidi ya 50 Kilimanjaro wamefungiwa ndani ya shule kwa nguvu kisa ada

    Mzazi ni kama mdaiwa mwingine yeyote anayeweza kuchelewa malipo. Kwa ulewa wako, Sheria zinasemaje mzazi/mdaiwa anapochelewesha ada/malipo ??..nchi inaongozwa kisheria. Unawezaje kumhukumu mtoto kwa kosa la Mzazi ???? Upande mmoja unapochelewa kutekeleza majukumu yake, sio ruhusu kwa upande...
  3. L

    Wanafunzi wa kike zaidi ya 50 Kilimanjaro wamefungiwa ndani ya shule kwa nguvu kisa ada

    Nenda Kiraeni Girls Sec hata sasa hivi ukashuhudie..acha kupotosha
  4. L

    Wanafunzi wa kike zaidi ya 50 Kilimanjaro wamefungiwa ndani ya shule kwa nguvu kisa ada

    Upo sahihi kabisa mkuu, Hakuna sheria inayo ruhusu uongozi wa shule kuwashikilia kwa nguvu watoto kwa namna yoyote ile. Hata serikali haiwezi kufanya hivyo, iweje shule binafsi?? Kinachotakiwa ni kuwaruhu wenyewe wapambane na wazazi wao kisheria au kwa utaratibu mwingine usiowaathili watoto...
  5. L

    Wanafunzi wa kike zaidi ya 50 Kilimanjaro wamefungiwa ndani ya shule kwa nguvu kisa ada

    Ungevaa viatu vya mzazi ungeelewa, kama hujawahi kuwa mzazi huwez kuelewa. Ishu sio kuchelewa shule..elewa post.
  6. L

    Wanafunzi wa kike zaidi ya 50 Kilimanjaro wamefungiwa ndani ya shule kwa nguvu kisa ada

    Usibishe sababu unapenda ubishi tu, nenda Kilaeni Girls uone watoto wanavyolia.
  7. L

    Wanafunzi wa kike zaidi ya 50 Kilimanjaro wamefungiwa ndani ya shule kwa nguvu kisa ada

    Wadau, Kuna habari za uhakika kuwa wanafunzi wa kike zaidi ya 50 wa madalasa tofauti tofauti wa shule ya sekondari ya wasichana ya Kilaeni iliyopo Rombo Mashati, mkoani Kilimanjaro wamefungiwa ndani ya shule kwa nguvu wakati wengine wakienda likizo tangu tarehe 26/11/2016, huku wakilazimishwa...
  8. L

    Nakodisha Noah

    Wadau, Nakodisha Noah kwa shughuli za harusi,sherehe na safari mbalimbali (sio kwa daladala), ipo katika hali nzuri sana. Bei maelewano, Tuwasilianie : 0675-205760
  9. L

    Noah inakodishwa

    NOAH INAKODISHWA MAWASILIANO - 0675 205760
Back
Top Bottom