Habari za leo wakuu?
Kwa wale wataalamu wa taratibu na sheria za ajira za Tanzania naomba ushauri juu ya muajiri huyu na ni hatua zipi kama muajiriwa napaswa kuchukua kabla ya kusaini mkataba wa aina hii ?Na endapo nitasaini na stahiki zipi nastahili kupata baada ya kipindi cha mkataba huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.