Sehemu ya 11
"Sawa John lakini naomba tusichelewe kama siku ile nilivyorudi usiku sana." Waliingia ndani ya gari na kwa uchovu Linda akakiegesha kichwa chake kwenye mapaja ya John. Kuona hivyo John alijikuta anaegesha gari pembeni kwani penzi likikolea huwa haliangalii sehemu gani ya...
Sehemu ya 10
Baada ya John kumaliza mizunguko yake na kuweza kuipeleka gari yake gereji na kufanya matengenezo kwa zile sehemu ambazo zilipata matatizo. Akiwa mwenye a ya kutaka kuonana na Linda alihangaika kuangalia hapa na pale na kusababisha hata wisky aliyokuwa anaifakamia kuonekana haina...
Sehemu ya 9
"Haloo John hapa mambo poa tu unajisikiaje."Lindaalihoji. "Najisikia vibaya darling." "Kwa nini?" Linda alihoji tena. "Aaah hujui nina hamu sana ya kukuona," "Hilo tu." "Ndiyo kwani unaliona dogo." "Hapana John hata mimi mbona pia nimekumiss sana." "Acha kunitania...
Sehemu ya 8
Linda aliondoka huku John akionekana kushangaa na kutumbulia macho lile toto la kimanga jinsi sehemu zake za nyuma zilivyokuwa zinatingishika kwa zamu, alimeza mate fundo moja baada ya lingine huku Linda akitokomea, John aligeuza gari yake na kurudi nyumbani kwake kupumzika huku...
Sehemu ya 7
"Mmmh, sikiliza John angalia watu wavyoangalia, tulia bwana unaniumiza sana usiwe na mapepe mimi ni wako au bado haujaamini usinitese mwenzio siku zipo nyingi kwa muda muafaka tutafanya na utaridhika tu lakini kwa sasa naomba unipumzishe mapigo ya moyo yanaenda mbio kwani...
Sehemu ya 6
John hakuamini kwa macho yake kama kweli Linda ndio yule alikuwa anaongea naye huku vinywaji vikiendelea. John ambaye alikuwa anapendelea sana Wisky tayari alionekana kuanza kubadilika na kufanya asiwe muoga tena kwa Linda huku akijikuta akianza kupapasa papasa kwenye mapaja laini...
Sehemu ya Tano
Wote waliinuka kwenye viti vyao na kumuacha Linda akiendelea kuvinjari na burudani zilizokuwa zikiendelea pale ukumbini ni hatua chache tu waliinamiana kila mtu kwenye sikio la mwenzake kisha Juma akasema "Kazi yangu imeisha John kazi kwako ukichemsha usinifuate mtoto kapendeza...
UTAMU WA EMBE KOKWA (4):
Siku iliyofuatia majira ya saa kumi na mbili na robo John na Juma walikuwa wamepata sehemu nzuri ya kupumzika na kufanya waonane na kila anayefika ukumbi ule, macho yao yote yalikuwa hatulii kila mtu alionekana kumkodolea macho kila msichana aliyeingia ukumbini. Muda...
SEHEMU YA 3:
Juma mbona unanifanyia hivyo yaani unataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia mambo gani unataka kunifanyia. Nimeshakueleza kwamba maliza kazi yako mtoto awe kwenye line, mzigo wako nitakukamilishia si unanijua mambo yangu makubwa na sipendi usumbufu. Nenda kamalizie kazi yangu...
SEHEMU YA 2:
Linda mtoto mwenye asili ya kimanga mrefu wa futi kama tano hivi na sentimita kadhaa, unene wake wa wastani ulitengeneza na kusababisha makalio yake yaonekane ya pekee ama unaweza kusema kama amependelewa usiombe akuvalie jeans ni balaa tupu usipoangalia utaumbuka hadharani, we...
Sehemu ya Kwanza
EEE bwana sawa mimi nimekuelewa, lakini Juma inabidi hii issue iende fasta fasta si unajua washikaji kibao wanavyohaha kuhusu yule mtoto?" alisema John akimwambia rafiki yake Juma ambaye ni maarufu kwa kazi ukuwadi. "Usikonde rafiki yangu nitajitahidi kadri ya uwezo wangu ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.