Hatumii dawa yeyote na hana kazi yeyote anashinda nyumbani tu na mtoto nae ashaachishwa kunyonya.
Inaumiza kichwa sana wakati mwingine hata kurudi nyumbani huwa inaniwia ngumu manakae naona kero isipokua mwanangu ndo hunifanya nirudi
Ndugu zangu nashukuruni sana kwa ushauli wenu katika suala kwa kweli liniumiza kichwa sana.
Jana nilikua kwa rafikiake ake mmoja ambae nilimuomba ajaribu kuongea nae kujua tatizo ni nini kanambia kuwa ana mpango wa kutafuta kazi kisha ahame akapange chumba sehemu nyingine kabisa tofauti na...
Nimefurahi kuwa mwanachama wa humu ndani kwenye watu waungwana na wachambuzi wa mambo kwa ustadi mzuri na uadilifu licha ya kuwepo vijembe kiasi fulani. Nina miaka mitatu ya ndo na Mungu katujalia mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka miwili kwa sasa.
Tokea mke wangu hajajifungua mpaka sasa hataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.