Recent content by luhebby01

  1. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    I love you all waandishi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea katika Siasa za Zanzibar- matumaini ya CUF v/s CCM

    Ni wajinga tu ndio wanaamin ni km mskitini ni sehemu tu ya kuswalia baasi hskuna chengine cha kufanya mskitini,km wazanzibar wamribiwa kisiwa chao " fungu mbarak" basi kuna wapuuzi wanaita ni siasa ,hivi kudhulumiwa ukawafahamisha wenzako km mumedhulumiwa ni siasa? hii ni aina gani ya siasa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kengeja used spare parts

    spare zetu ni used kutoka Japan hivo kwa vile ni used tunakupa na gerentee
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kengeja used spare parts

    Tupo ilala daresalam mtaa wa lindi na shauri moyo karibu na ofisi za TRA ilala, tunauza spare za magari used kutoka japan km Toyota nissan mistubish (GDI) suzuki na honda .. wasiliana nasi 0657617671 au 0773617671 au 0774442744 karibuni sana .. Waliopo nje ya jiji la dareslam tunaweza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwa uchunguzi huu, Lipumba ndio mpinzani wa kweli Tanzania

    Hatukatai nikweli tumeumia sana lipumba kufanya alichofanya na kafanyiwa tukikumbuka tulivokua nae kwenye mapambano, hata alipotaka kurudi cuf kua mwenyekiti Wengi tulifurahi natukaomba a rudi kwa kufuata sheria,lakin alipotaka kurudi kwa nguvu kinyume na utaratibu na kutuingizia wahuni akina...
Back
Top Bottom