Recent content by LUDOVICK UMBURI

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta ushauri ni wapi naweza kupata ng'ombe bora wa maziwa

    Asante sana kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta ushauri ni wapi naweza kupata ng'ombe bora wa maziwa

    Jamani vijana humu tuko makini,nyie mliojibu ni wafuhaji?soma maelezo yangu,habari za kitulo nazijua sana na kwingineko pia,ndio maana niweka huo Ujumbe,
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta ushauri ni wapi naweza kupata ng'ombe bora wa maziwa

    Mimi naishi Dar es salaam, Ninaomba ushauri ni wapi naweza kupata ng'ombe bora wa maziwa , ng'ombe watakao weza kuendana na hali ya hewa ya Dar,wawe wenye sifa ya kutoa maziwa mengi na bora,ningependa kununua ambao wana mimba ya miezi saba hadi nane. waweza kuwasiliana kwa namba ya simu...
Back
Top Bottom