Asante mkuu Mimi nataka kufungua machine ya kusaga na kukoboa kwa kutumia umeme pia nataka nifungulie tabora hivyo naomba ufafanuzi jinsi ya kupata:-
1.mota kwa bei nafuu
2.kinu cha kukoboa NA kusaga
Ningependa xn kama ukinitajia na bei zake pia naomba kujua vinu vya sido na vinu vya dukani...
Habari Mimi ni kijana nataka mjasiliamali nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kukoboa nafaka kwa garama nafuu sana naomba ushauri bei ya mota pamoja bei ya kinu cha kukoboa na kusaga na kifaa vingine tafadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.