Recent content by Lucy25

  1. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Ndio , bei zetu kwa samsung zipo constant kwa specific series haijalishi storage size yake. Karibu.
  2. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Simu chini ya 400k utaagiziwa and utalipia after delivery. Above 400K utalipia 60% na 40% after delivery. Karibu.
  3. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Simu chini ya 400k utaagiziwa and utalipia after delivery. Above 400K utalipia 60% na 40% after delivery. Karibu sana.
  4. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Utapata but hizo dual sim zipo chahche sana, but tunaweza angalia utaratibu wa kuipata
  5. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Okay Root, unaweza agiza toka apple store pia.
  6. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Kinondoni Mwanamboka.
  7. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Sio Refurbished, usipotoshe biashara. Cheap haimanishi ni refurb , chaneli yetu ya biashara ni fupi ndio maana hatuna bei ulizozizoea wewe.
  8. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Hapana, A70 goes by 700,000 tzs.
  9. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Ni mpya, haijatumika na sio refurb.
  10. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Ofisi ipo kinondoni mwanamboka. Ukihitaji simu unaagiziwa kwa sasa hatukai na mzigo ndani. Simu ikiagizwa inachukua siku 10 mpaka kuwasili nchini.
  11. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    Samahani kwa hilo. Mpangilio umetokana na excel sheet na umekaa kwa bei halisi na bei ya punguzo. Bei ya punguzo ndio inayotumika kwa mwezi huu.
  12. Lucy25

    Phone4Sale Wanaohitaji iPhones na Samsung Kwa Bei Poa

    A50 ni 615,000 tzs. Karibu sana.
Back
Top Bottom