Recent content by lucme

  1. L

    JamiiForums Mume wangu hachangii maendeleo ya familia na sijui pesa zake anapeleka wapi

    Ikumbukwe anaishi nyumba ya serikali, halipi maji , umeme nauli wala chai, labda yy ni lunch tu na dinner
  2. L

    JamiiForums Mume wangu hachangii maendeleo ya familia na sijui pesa zake anapeleka wapi

    Hili ndo linaniumiza kichwa hata mm
  3. L

    JamiiForums Mume wangu hachangii maendeleo ya familia na sijui pesa zake anapeleka wapi

    Mpaka hapo nilishaanzisha mradi ili yeye ausimamie alishindwa tukaufunga
  4. L

    JamiiForums Mume wangu hachangii maendeleo ya familia na sijui pesa zake anapeleka wapi

    Anaishi nyumba ya serikali , halipii kodi wala umeme wala maji wala nauli ya kwenda kazini halipi, namm baada ya kuona ni ndogo hiyo hela ndio maana tulikubaliana aitumie kwa ajili ya masuala yake pamoja na kusave.
  5. L

    JamiiForums Mume wangu hachangii maendeleo ya familia na sijui pesa zake anapeleka wapi

    Nisipolipa yeye anasema hana hela na halipi kweli
  6. L

    JamiiForums Mume wangu hachangii maendeleo ya familia na sijui pesa zake anapeleka wapi

    Habari zenu wanaJF Mimi ni mama wa watoto 2 niliobahatika kupata pamoja na mume wangu. Tumeishi pamoja kwa miaka 4 sasa. Mume wangu ni mtumishi wa Serikali na miki nimeajiriwa sekta binafsi na kiwango cha mshahara wa Mr. ni 300,000 ambacho ni kidogo kwakuwa kuna issue ziliingiliana zkafanya...
Back
Top Bottom