Recent content by luchili

  1. L

    Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

    kuifufua shirika hilo ni kuleta matatizo. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

    siku zote watu wakiona kuna mafanikio lzma wafufue ya nyuma,serikali ya MAGUFULI ipo makini sana kwa hilo tutashinda pia maana sio la wakati huu . Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Tume ya Uchaguzi tunaomba ufafanuzi kwenye hili

    Sidhani kama kuna shida hapo,huyo atakuwa amehama mtaa na hakutaka kwenda kupigia mbali na mtaa anaokaa.
  4. L

    Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi Lugola bado yupo nje, wengine wapo ndani, Sheria ipo vipande vipande?

    Unahamasisha watu wakemee kwa ushahidi upi,wakati mwingine ukikaa kimya tu itakusaidia sana kwa kuwa huna unalolijua kwenye issue hiyo.
  5. L

    Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi Lugola bado yupo nje, wengine wapo ndani, Sheria ipo vipande vipande?

    Kama wamekiri ni kweli,sasa hapo watakachoulizwa ni nini sasa,hapo kinachofuata ni sheria fuata mkondo basi.
  6. L

    Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi Lugola bado yupo nje, wengine wapo ndani, Sheria ipo vipande vipande?

    Carlos The Jackal, Acha kudanganya watu,hakuna anayekaa juu ya sheria bwana.
  7. L

    Nembo ya Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam na maneno yaliyoko katika logo hiyo ni vitu vya kutazamwa upya kwani viko kisiasa zaidi kuliko kitaaluma

    Watu hawaangalii movie,movie nyingi za wenzetu haswa za kiintelejensia wanatumia philosophy message kuweza kufanikisha mambo yao na kama utakuwa sio mtambuzi hutoelewa kabisa kama huyo jamaa asivyoweza kuelewa maneno yaliyoandikwa kny log hiyo. Binafsi nimekuelewa vizuri sana, watu wengine...
  8. L

    Chuo kikuu cha Nairobi chagundua Samaki wanaotoka China wana sumu za Mercury, ZINK, COPPER,LEAD,IRON. Ni hatari kwa afya ya ubongo na mwili. Tz kimya

    Return Of Undertaker, Umefanya vizuri kutuletea habari hii lkn Tanzania ilishatambua hili kitambo na ndio maana hakuna samaki kutoka china, ilishazuhiliwa kitambo.
  9. L

    Marekani wako very "calculated" mwaka huu wa uchaguzi. Serikali ya CCM kuweni makini

    Wamarekani ni takataka tu,tangu aingie trump hakuna Nchi inayoendeshwa kimabavu kama Marekani.Sasa nakutuma kamueleze huyo aliyekutuma watanzania wa sasa sio wale waliokuwa watumwa mwanzotunajitambua sana, watuachie uchaguzi wetu kama na sisi ambavyo atuwaingilii chaguzi zao.
  10. L

    Marekani wako very "calculated" mwaka huu wa uchaguzi. Serikali ya CCM kuweni makini

    Kwaiyo unataka kutuaminisha Nchi nyingine walizotoa misaada wamekuwa matajiri?
  11. L

    Tume huru ya uchaguzi iweje?

    Tumekuwa tukiwasikia viongozi wa Vyama vya Upinzani wakidai Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 uwe wa haki na huru. Sasa najaribu kutafakari, hawa vyama pinzani wataona uchaguzi wa 2020 kuwa upo huru na haki endapo watausimamia wenyewe? Maana inafahamika sheria na taratibu za uchaguzi zilivyo na...
  12. L

    Kiongozi anaponunua helcopter 13 za kumlinda yeye binafsi, lakini anakwazwa na mageuzi Jeshi la Zimamoto

    ivi umeelewa sababu alizotoa Rais au unakurupuka tu. Rais alishangazwa kufanyiwa makubaliano kitu ambacho bado hakijajadiliwa, yy hataki mikataba feki tena ina maana waliweka maslahi mbele hadi wakajisahau taratibu za nchi zinasemaje. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

    Hivi chadema hawalioni hilo,inawezekana vipi madiwani wa mkoa mmoja wanaondoka tu, inabidi wamchunguze huyo lema. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    Kwa haya, Rais Magufuli hatufai kama ni wenye kutafakari

    Huwa wanabusara sana, hawakurupuki km hao madanga. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. L

    Kwa haya, Rais Magufuli hatufai kama ni wenye kutafakari

    Kwaiyo huwa mnafanya kusudi ili muwapampu,bac mmenowa mtakuwa mnajifariji wenyewe kwa maneno yenu huku mambo yanasonga mbele. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom