Recent content by Lucas Mwashambwa

  1. L

    David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

    Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
  2. L

    David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

    CCM tunaungwa mkono na mamilioni ya watanzania,ndio maana tumekuwa tukichaguliwa katika kila uchaguzi
  3. L

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Maeneo Mengi sana hata mimi nimeshuhudia wananchi wakiwa wakali sana kama Mbogo ukiwaambia habari tofauti na Rais Samia na CCM. Wanasema CCM ndio baba na ndio mama yao.
  4. L

    Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi akutana na Maranja Masese na kufanya naye Mazungumzo Mazito

    Mimi ni msema kweli na siyo mtu wa kusifia sifia tu.
  5. L

    Uteuzi Juni 15, 2024: Rais Samia kafanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali. Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atenguliwa

    Rais Samia akikupatia kazi na ukaharibu ,anakuondoa haraka sana ofisini hata kama umekaa wiki moja tu ofisini.
  6. L

    Uteuzi Juni 15, 2024: Rais Samia kafanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali. Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atenguliwa

    Najuwa lengo lako lilikuwa ni huyo mkurugenzi wa Moshi maana una chuki naye binafsi sana .umemchafua sana lakini umegonga mwamba dua zako mbaya
Back
Top Bottom