Recent content by lubagash

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    Lakini waliotekwa na kuteswa zaidi ni way chama kipi? Anzia hapo utapata jibu swafii. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaituhumu Seriƙali, Nchi ama Taifa!?

    Hongera. Umenielimisha kitu ambacho nilikuwa sikielewi vizuri. Kwa hiyo TL anaieleze serikali ilivyo kwa sasa na si Taifa au nchi ilinyo. Kama ni hivyo aendelee Tu na safari zake kwa kuelezea yaliyomkuta. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kukutana na Papa Francis, Vatican

    Hata ikiwa hivyo,hamna maneno kwani Dunia yote imeshajua tulivyo kwa sasa. Siyo tulivyokuwa huko nyuma. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mrs Lissu amlipua Kanjanja Musiba Na genge lake!

    Mpumbavu mwache na upumbavu wake. Ukibishana naye nawe utaonekana kwa mpumbavu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    JamiiForums Tanzania Achana na Kata 77: Kipimo cha kukubalika kwa CHADEMA, ni Jimbo la Buyungu:

    Sawa kabisaa umenena ukweli wacha wajibarakuze.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Achana na Kata 77: Kipimo cha kukubalika kwa CHADEMA, ni Jimbo la Buyungu:

    Hivi wizi na ubabe mbona hatuusemi? Kama kungelikuwa na uchaguzi we Haki na usawa hayo ndiyo yangelikuwa sawa. Otherwise hamna kitu mradi liende.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya: Hongera Mhe.Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kuhitimu chuo cha uanasiasa

    Hata baba wa Taifa aliwahi kusema chagueni viongozi wenye Dini ki uhakika ndio watenda haki na wenye huruma kwa binaadamu wenzake. Huyu mzee ndio tundahalisi la mfano mwema.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Zaidi ya Watanzania 380 Wanatajwa ‘Kupotezwa’ MKIRU

    Kweli kumbe ndiyo sababu maiti haziokotwi tena baharini.
  9. L

    JamiiForums Tanzania USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    Wasomi wetu Waoga hawatadhubutu kusema lolote la ukweli.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wafuatao ni wabunge ambao wapo CCM kimwili tu!

    Mtaiba sana kura kwa nguvu?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda atishia kuwasweka ndani Lowassa na wengine wasipoitikia wito wa kwenda kusikiliza madai ya kutelekeza watoto

    Hakuna kitu hapa. Yote haya hamna cha msaada kwa mtu, bali kuna watu wanatafutwa ili wanyanyaswe kama kwenye dill ya dawa za kuleta. Angalieni mwisho wake utakuwaje.
  12. L

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Kwani wizara zinazoshulikia mambo hayo hazipo? Mpaka wangoje mtu mmoja ambaye hata uchungu wa mwana hana?
  13. L

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Ahsante. Hapo umesema mkuu. Makonda hata siku moja hafanyi kitu cha kuleta faida kwa Watanzania wenzake, bali huanzisha kwa lengo la kuja kuthalilisha wengine anaowachukia. Chunguza na utaona.
Back
Top Bottom