Recent content by Lua

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mnyika Mbunge wangu, ya wengine unayajua, yako je?

    MIRADI ILIYOTEKELEZWA KWA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO TOKA 2010/2011, 2012/2013 NA 2013/2014. S/NA KATA MRADI GHARAMA TSH. HALIHALISI YA UTEKELEZAJI 1 Kwembe Ukarabati wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    hakuna shaka tutaendelea kuwasiliana.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    kile kijiji kimoja hatujafanya uchaguzi kipo Idandu sababu kuna kesi kati ya wananchi na serikali sababu wanasema kijiji hicho sio kijiji bali ni eneo ambalo amepewa mwekezaji.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    ahsante but pamoja tutashinda.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    pamoja mkuu.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    inshallah!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    pamoja makamnda.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    MERERA nilifika hapo inapoiona gari inapita kwy tope ni njia tunatoka chita kuja MERERA ambapo njia ni mbovu balaa, na kiji tumeshinda na kiji cha MSITA nako tumeshinda.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    namwawala, kisegese, godown ccm wameshinda cdm tumeshinda kijiji cha KALIA GOGO.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    tutaendelea kuigomea kwa kuwa katiba inayopendekezwa haina uhalali wa kisiasa na kiuadilifu. october mwaka tunakwenda kuing'oa ccm na katiba yao inayopendekezwa na baada ya hapo tutatumia rasimu ya walioba kutengeneza katiba yenye maslahi kwa umma.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    ok, mchombe nilipiga mikutano mitatu, nayo ni mkangawalo, kijiji tumeshinda, njagi-kijiji tumeshinda na lukolongo- kijiji pia tumeshinda. ni vizuri kama umeweka nia hapo but naomba unicheki kwa namba 0784379542
  12. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

    Namshukuru m/mungu kwa kurejea salama, baada ya ziara ndefu katika jimbo la Kilombero kutoka tarehe 16/10/2014 hadi juzi tarehe 31/01/2015. Lengo ya ziara ilikua ni kufanya mikutano ya hadhara katika kata zote 35 za jimbo la Kilombero ya kutoa elimu ya uchaguzi wa serikali ya mitaa, katiba...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ambana Makinda kuhusu baraza la vijana taifa

    TAARIFA KWA UMMA OFISI YA MBUNGE- UBUNGO INAKARIBISHA MAONI YA WADAU JUU YA KUBORESHWA MUSWADA WA KUUNDA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA. Itakumbukwa Katika Mkutano wa 14 Kikao cha 15 tarehe 21 Disemba 2013 ulisomwa Bungeni Muswada Binafsi wa Mbunge wa Sheria ya Baraza la Vijana la Taifa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake jimbo la Ubungo

    KWA bei hiyo hiyo japo sio halisia, ukinunua cherani 150 haitoshi.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake jimbo la Ubungo

    kwani haiwezekani?
Back
Top Bottom