Recent content by LOZANDO

  1. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Timu ya taifa Tanzania ( Taifa Stars) kushiriki michuano ya kombe la dunia na sekta ya michezo nchini kukua inawezekana

    Kukua kwa sekta ya michezo nchini Hadi kufikia viwango Bora na vya kiushindani kimataifa inawezekana na hadi timu yetu ya taifa (Taifa stars) kushiriki kombe la dunia haitakuwa ndoto Bali itakuwa uhalisia na kawaida kushiriki michuano hiyo, hayo yote ili yaweze kufanikiwa yafuatayo Ni muhimu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ni tunu na zawadi kwa vizazi vyetu mitaala ya elimu ibadilishwe

    Kwa maono yangu Tanzania tuitakayo kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa na vingine kuondolewa kwenye sekta ya Elimu. Mfano mitaala ya Elimu ya sasa haimuandai mwanafunzi muhitimu, kupata ujuzi ambao anaweza akauhamisha kutoka kwenye maandishi kwenda kwenye vitendo ili kutatua matatizo ya...
Back
Top Bottom