Kata ya samunge kijiji cha samunge kuna mgogoro mkubwa sana wa wananchi kuporwa mashamba yao zaidi ya heka 50 na kundi la vijana wanaotaka kujenga chuo kwa faida yao likiongozwa na Shoide, Katorombana na Totao na Lengume ambaye ni TO wilaya ya ngorongoro yeye amehusika kuwapitisha vichochoro...
Kata ya samunge wilaya ya ngorongoro kuna kikundi cha vijana kimepora mashamba ya wananchi zaidi ya heka 50 kwa nguvu kwa lengo lao binafsi la kujenga chuo.
Tatzo kubwa ni kwamba wenye hayo mashamba hawajashirikishwa, au kupewa fidia badala wanatishiwa maisha na hata pale walipoonda ofisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.