Recent content by Low Key

  1. Low Key

    Polisi utu au vipi?

    Kama serikali imeshindwa Basi haki za kibindamu ziimgilie. Haowezekani mtu apigwe vile bhna kisa wewe ni polisi
  2. Low Key

    Polisi utu au vipi?

    Afu Kuna mtu anampiga mtu Kama mbwa yani Unampiga mtu makofi.. wewe ungepigwa vile ungejisikiaje .. una akili timamu au ni mgonjwa
  3. Low Key

    Polisi utu au vipi?

    Je, kwa mfano unakunywa pombe kwa nchi inayotegemea mapato yake kwenye pombe ni nchi au nini? Yaani zinatoka takwimu kuwa sijui TBL wameongoza kwa sijui nini. Leo mnawakakamata watu wanaokunywa pombe na hawajavunja sheria yeyote! Je, mko sawa kweli nyie jeshi la polisi? Hivi mtu alielewa ni wa...
  4. Low Key

    Kwa wakatoliki: Iwapo mume au mke mmoja akahukumiwa kifungo cha maisha gerezani, Je mwenzake ataruhusiwa kuoa au kuolewa?

    Mkuu Kuna vitu huwa havipo clear hata kwa waamini, je vipi kuhusu wasio waamini na wanaotaka kuhamia dhehebu flani? Lengo la kuandika Uzi huu ni kupata mwanga kwa maswali yanayonitatiza ili hata wengine wenye shida Kama yangu wapate mwanga Kwa mantiki iyo bado utakihesabu kuwa ni mkatoliki?
  5. Low Key

    Kwa wakatoliki: Iwapo mume au mke mmoja akahukumiwa kifungo cha maisha gerezani, Je mwenzake ataruhusiwa kuoa au kuolewa?

    Hili ni jukwaa lenye watu tofauti tofauti wakiwemo hao viongozi wa makanisa. Na isitoahe humu Kuna watu wenye uelewa mkubwa tu. Kama huna uelewa huo wengine wenye kujua watajibu.
  6. Low Key

    Kwa wakatoliki: Iwapo mume au mke mmoja akahukumiwa kifungo cha maisha gerezani, Je mwenzake ataruhusiwa kuoa au kuolewa?

    Habari za muda huu? Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kulingana na mafundisho ya kanisa kuwa ndoa haitavunjwa labda kuwe Kuna sababu Kama.. 1. Uliefunga nae ndoa ni ndugu yako. 2 .Ikionekana mwanaume ni 'imptontent' Na mengine Kama yapo. Nje ya hapo ni hakuna talaka mpaka kifo au kwa...
  7. Low Key

    Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

    Utakua una 'Bipolar disorder' wacheki wanasaikolojia.
  8. Low Key

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Bruhm inch 32 for 330k
  9. Low Key

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu kuna Bruhm nch 32
  10. Low Key

    Kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

    Tuanze na Upendo. Kwa level ya kibinadamu: je ukimuadhibu mwanao aliyekosea kwa kutaka ajirekebishe baada ya kwenda kinyume na utaratibu uliomuwekea, je utakuwa unampenda au unamchukia?
  11. Low Key

    Kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

    Unazungumzia majanga gani? Je ni majanga asili(natural disasters)? Kwa hayo mwanadamu ndio msababishi mpaka disasters zinatokea kutokana na shughuli zake. Viwanda vinaharibu mazingira kwa kiasi gani? Vipi global warming? Vipi kuhusu ukame, increase of sea level? Je hayo yanafanywa na Mungu? Haya...
Back
Top Bottom